GHARIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia
wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama
hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa
Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama
hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa
Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho
tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Mhe. Amani Abeid Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti
mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala
za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Sehemu
ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015

Ndege
ndogo ikipita juu ya Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za
chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13,
2015
Mgombea
Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili
katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga
vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais Kikwete akimlaki Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM
ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein akiwasili katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti
mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni
za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba
13, 2015
Gharika
ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
gharika

Mama
akisaidiwa kwenda kupata huduma ya kwanza baada ya kuhemewa na gharika
ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Nyomi

Utenzi
ukisomwa kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Sehemu
ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Sehemu ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti
mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala
za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Sehemu ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti
mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala
za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete, mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakiwa na furaha katika
Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga
vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais Kikwete, mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakiwa na furaha
katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga
vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Kada
mashuhuri wa CCM Visiwani Zanzibar Mzee Borafia akiongea katika Uwanja
wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Umati
ukishangilia katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja
na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama
hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
CCM
OYEEEEEE....anasema kada huyu katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete akimpongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Mohamed
Gharib Bilali baada ya kuhutubia katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015
Rais
Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume akihutubia kwenye Uwanja
wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015.
Viongozi
wakiwa jukwaa kuu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Wanahabari
wakirekodi tukio hilo la kihistoria kw kila aina ya vifaa vya kisasa
ikiwemo drone ya kupigia picha kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho
tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Msanii
Diamond na kundi lake la Wasafi wakitumbuiza kwenye Uwanja wa
Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015.
Msanii Diamond na kundi lake la Wasafi wakitumbuiza kwenye Uwanja wa
Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg. Vuai Ali Vuai akisoma ratiba ya
mkutano kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja
wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia umati
kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa
uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa
Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwa amehemewa kwa
gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Rais
Kikwete akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Rais
Kikwete akisisitiza jambo wakati akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia
wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za
chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13,
2015.
Rais
Kikwete akifafanua jambo wakati akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia
wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za
chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13,
2015.
Diamond
na kundi lake wakitumbuiza kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda
Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho
tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Jukwaa
kuu likifurahia onesho la Diamon na kundi lake wakati wa uzinduzi
rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar
Jumapili Septemba 13, 2015.
Rais
Kikwete akirejea tena mbele kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt
Ali Mohamed Shein kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Rais
Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana wakijiandaa
kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt Ali Mohamed Shein kwenye
Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi
rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar
Jumapili Septemba 13, 2015.
Msaada unatolewa kwa mama aliyepoteza fahamu kutokana na wingi wa wananchi wakati wa mkutano huo
Nyomi mkutanoni hapo
Rais
Kikwete na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
wakionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Uwanja wa Demokrasia wa
Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi
rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar
Jumapili Septemba 13, 2015
Mgombea
Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia
gharika hiyo ya watu katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini
Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za
chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13,
2015
Sehemu ya wananchi, wanaCCM na viongozi uwanjani hapo
Dua
ikisomwa baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Rais Kikwete wakipongezana kwa
furaha baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za
kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Gharika
ya watu ikiondoka kwa furaha na amani baada ya mkutano uliofana wa
uzinduzi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar
Jumapili Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete akiaga wakati akiondoka Unguja kurejea Dar es salaam baada ya
uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa
Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015

Kikwete akimnyakua mtoto wakati akiondoka baada ya uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete akimbeba mtoto huyo baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za
chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13,
2015
Rais Kikwete akipata picha na watoto baada ya uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015
Rais Kikwete akiaga baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho
tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete akiagana kwa furaha na wananchi baada ya uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015
Rais
Kikwete akiagana kwa furaha na wananchi baada ya uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015
Rais Kikwete akiaga wakati akiondoka Unguja kurejea Dar es salaam
baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea
Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais
Mstaafu Benjamin Mkapa akiagana na viongozi wa CCM wa Visiwani wakati
akiondoka Unguja kurejea Dar es salaam baada ya kuunguruma katika
uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa
Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
"....CCM
JUU!" anasema Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wakati akipanda ndege
kuondoka baada ya kuhudhuria kuunguruma katika uzinduzi rasmi wa
kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili
Septemba 13, 2015.
PICHA NA IKULU
No comments